Mkuu wa Mkoa Tanga akiongea na wananchi wa Kata ya chongoleani na kuwapa elimu juu ya ujio wa
Bomba la Mafuta.Ujenzi wa Bomba hilo la Mafuta utaanzia katika Kata hiyo ya Chongoleani
hivyo wananchi wa Kata hiyo walipaswa kuwa wavumilivu pamoja na subira wakati mchakato
wa tathmini ya maeneo ambayo yatachuliwa na mradi huo unaendelea.
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.