TANGAZO
HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA
TANGAZO KWA UMMA KUHUSU UUZWAJI WA VIWANJA KATIKA MAENEO YA AMBONI – PANDE NA MABOKWENI JIJINI TANGA.
MKURUGENZI WA JIJI LA TANGA ANAWATANGAZIA WANANCHI, MASHIRIKA, MAKAMPUNI, TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI KUWA UPIMAJI WA VIWANJA KATIKA MAENEO YA AMBONI – PANDE NA MABOKWENI UMEKAMILIKA.
VIWANJA HIVYO VIPO BARABARA YA TANGA HOROHORO UMBALI WA KM 7 KUTOKA KATIKATI YA JIJI LA TANGA. FOMU ZA MAOMBI ZITAANZA KUTOLEWA KWENYE VIWANJA VYA OFISI YA MKURUGENZI WA JIJI LA TANGA TAREHE 28/05/2018 KUANZIA SAA 2.30 ASUBUHI.
BEI YA FOMU NI TSHS. 20,000/= KWA KILA KIWANJA
BEI YA VIWANJA KWA MITA MOJA YA MRABA NI TSHS. 3,500/= KWA ENEO LA MABOKWENI
BEI YA VIWANJA KWA MITA MOJA YA MRABA NITSHS. 2,500/= KWA ENEO LA PANDE.
VIWANJA KWA AJILI YA VIWANDA VIDOGO VIDOGO (SERVICE TRADE) MITA MOJA YA MRABA ITAUZWA KWA TSHS. 5,000/=
TAASISI, ASASI MBALIMBALI NA WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA KUPATA VIWANJA NA KUWA NA MAKAZI BORA
LIMETOLEWA NA MKURUGENZI HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.