Saturday 21st, December 2024
@Jijila Tanga
Mwenge wa Uhuru utapokelewa kutoka Wilaya ya Mkinga eneo la Mpirani siku ya tarehe 13 Octoba 2018 na kisha kwenda kufungua miradi minne (4) ya maendeleo ndani ya Jiji la Tanga.
Mkesha wa Mwenge wa Uhuru utafanyika kwenye viwanja vya Usagara
Wananchi wote mnakaribishwa.
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.