Uchangiaji wa gharama za udhibiti taka ngumu ni kwa mujibu wa kifungu cha 6 (1) cha Sheria ndogo za (Udhibiti wa Uchafuzi wa Mazingira) Halmashauri ya Jiji la Tanga za mwaka 2014. Kupata Sheria ndogo za Udhibiti wa Uchafuzi wa Mazingira, bonyeza hapa
Gharama za uzoaji taka kutoka katika Kaya, maeneo ya biashara na maeneo mbalimbali ya uzalishaji wake kabla ya kuzipeleka dampo zinatakiwa kuchangiwa na wakazi wote wa jijini Tanga
Na. |
AINA YA JENGO |
KIWANGO KWA MWEZI (Tshs.) |
||
1
|
Maduka ya jumla
|
15,000.00 |
||
2
|
Maduka ya rejareja
|
10,000.00 |
||
3
|
Taka za nyumbani (kila kaya)
|
1,000.00 |
||
4
|
Viwanda vikubwa
|
100,000.00 |
||
5
|
Viwanda vya kati
|
50,000.00 |
||
6
|
Viwanda vidogo
|
30,000.00 |
||
7
|
Hoteli kubwa
|
100,000.00 |
||
8
|
Hoteli za kati
|
45,000.00 |
||
9
|
Nyumba za kulala wageni
|
25,000.00 |
||
10
|
Hospitali
|
50,000.00 |
||
11
|
Vituo vya Afya na Zahanati
|
30,000.00 |
||
12
|
Ofisi
|
30,000.00 |
||
13
|
Wakandarasi wa Majengo
|
50,000.00 |
||
14
|
Maduka ya Vifaa vya Magari
|
15,000.00 |
||
15
|
Ofisi za Mawakili
|
10,000.00 |
||
16
|
Ofisi za Wataalamu wa kuua Wadudu
|
10,000.00 |
||
17
|
Maghala makubwa
|
50,000.00 |
||
18
|
Maghala ya kati
|
30,000.00 |
||
19
|
Maghala madogo
|
20,000.00 |
||
20
|
Ofisi za Wahasibu/Wakaguzi na huduma za Kompyuta
|
20,000.00 |
||
21
|
Ofisi za Steshenari
|
10,000.00 |
||
22
|
Mgahawa
|
10,000.00 |
||
23
|
Taka za bustani, majani na miti
|
(Kwa safari moja) 20,000.00
|
||
24
|
Biashara nyingine yoyote
|
10,000.00 |
||
25
|
Majumba ya Sinema
|
20,000.00 |
||
26
|
Mashine za Kusaga
|
20,000.00 |
||
27
|
Karakana
|
20,000.00 |
||
28
|
Minada
|
20,000.00 |
||
29
|
Mashine za kushona
|
10,000.00 |
||
30
|
Useremala
|
20,000.00 |
||
31
|
Vituo vya kuuza Mafuta ya Magari na Pikipiki (Filling Stations)
|
10,000.00 |
||
32
|
Mawakala
|
10,000.00 |
||
33
|
Ada ya kutupa taka kutoka kwenye Mkokoteni ndani ya Kizimba
|
5,000.00 |
||
34
|
Studio za Picha
|
10,000.00 |
||
35
|
Huduma za kufua na kunyoosha
|
10,000.00 |
||
36
|
Saluni ya Kiume na Kike
|
10,000.00 |
||
37
|
Duka la Dawa
|
15,000.00 |
||
40
|
Shule
|
20,000.00 |
||
41
|
Kituo cha Kutunza Watoto
|
20,000.00 |
||
42
|
Baa
|
40,000.00 |
||
43
|
Magenge
|
10,000.00 |
||
44
|
Mama Lishe
|
5,000.00 |
||
47
|
Ukarabati wa vifaa vya umeme
|
20,000.00 |
||
48
|
Vizimba vya Soko
|
(kwa siku) 200.00 |
||
49
|
Kutupa taka kwenye Dampo la Jiji
|
(Kwa safari moja) 10,000.00
|
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.