Imewekwa: June 14th, 2023
Juni 09, 2023.
Mwenge wa Uhuru umewasili Mkoani Tanga ukitokea Kusini Pemba na kupokewa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Waziri Kindamba, katika Uwanja wa Ndege wa Tanga, tayari kuanza mbio za siku ku...
Imewekwa: June 14th, 2023
Timu ya Menejimenti ya Halmashauri (Council Management Team - CMT) ya Jiji la Tanga, leo Jumanne Juni 13, 2023, imefanya ziara ya kutembelea miradi mikubwa miwili inayotarajiwa kufunguliwa hivi karibu...
Imewekwa: May 29th, 2023
Na. Mussa Labani, Tanga
Kamati ya Fedha na Uongozi ya Halmashauri ya Jiji la Tanga, chini ya Mwenyekiti wake, Mstahiki Meya wa Jiji, Mhe. Al-Hajj Abdulrahman Shiloow, leo, Ijumaa Mei 26, 2023...