• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
Tanga City Council
Tanga City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Tanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasis
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Usafi wa Mazingira
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jiamii na Vijana
      • Maji
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
    • Kata
    • Mitaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Elimu
    • Sekta ya Viwanda
    • Maeneo ya Nyumba na Makazi
    • Sekta ya Misitu na Mashamba ya Miti
    • Sekta ya Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Uwezeshaji Wananchi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Kuonana na Mst. Meya
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Kanuni
    • Fomu Mbalimbali
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Majarida
    • Taarifa za Miradi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • TangaTV

Shigela awataka Wawekezaji kuwekeza Mkoani Tanga

Imewekwa: November 26th, 2019


Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigela ametoa wito kwa wawekezaji nchini kuja kuwekeza katika fursa mbalimbali zilizopo Mkoani Tanga.

Shigela amesema hayo wakati akizungumza na Tanga Televisheni  ambapo amesema kuwa Mkoa wa Tanga una fursa nyingi za Kiuchumi kwa upande wa Biashara,Kilimo na hata Madini na hivyo ni wasaa wa wawekezaji kutumia vyema wakati huu.

“Mkoa wa Tanga unasifika kwa zao la Mkonge kwa miaka nenda rudi na  zao lenye bei nzuri kabisa na pia Tanga tunayo sehemu kubwa ambayo wawekezaji wanaweza kuja kuwekeza hapa kwetu “.,Alisema Martine Shigela Mkuu wa Mkoa wa Tanga

Shigela ameongeza kuwa  kwa sasa wanahitaji kiwanda kitakachosaidia kusindika zao la Mkonge kwani Wakulima wa Mkoa wa Tanga wamejitahidi kulima kwa hali na mali .

“Tukipata Mashine au Kiwanda cha Usindikaji  kitasaidia sana Wakulima wetu kuzalisha kwa wingi zaidi na kusafirisha kwa haraka bidhaa zao “.,Alisema Mkuu wa Mkoa wa Tanga

Sambamba na hayo Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigela amesema katika upande wa Bomba la Mafuta bado wanaendelea na hatua mbalimbali kwani itasaidia kutoa ajila kwa wananchi wa Mkoa wa Tanga .

Mkoa wa Tanga ni moja kati ya Mikoa inayozalisha zao la mkonge kwa kiwango cha asilimia kubwa ambao unaweza kutoa ajira kwa Wananchi wa Mkoa wa Tanga .   

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigela akizungumza na mwandishi wa Tanga tv juu ya uwekezaji

Matangazo

  • Matokeo ya Kidato cha Sita yametoka July 11, 2019
  • UPANGISHAJI MAENEO MBALIMBALI YA BIASHARA MWAKA WA FEDHA 2017/2018 May 25, 2017
  • Karibu Tushiriki kupokea Mwenge wa Uhuru 07/7/2019. July 05, 2019
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Wanafunzi wahimizwa kuweka juhudi masomo ya Sayansi

    December 04, 2019
  • Tanga kutoa millioni mbili pambano la Mwakinyo

    November 27, 2019
  • Tanga kurudi katika nafasi yake

    November 27, 2019
  • Viongozi serikali za mitaa watakiwa kufanya kazi bila kujali itikadi

    November 25, 2019
  • Angalia Zote

Video

Tanga jiji yapongezwa
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matumizi ya TEHAMA kwa Jiji la Tanga
  • Kata na Mitaa ya Jiji la Tanga
  • Manual ya mfumo wa FFARS
  • Muongozo wa ugawaji wa kitambulisho cha mjasiliamali
  • Jarida la Mifumo Yetu - Novemba 2018-Januari 2019
  • Kupata leseni ya Biashara
  • Tangazo kuhusu watumishi waliomba vibali vya uhamisho
  • Kuanza Ujenzi na Kupata Kibali cha Ujenzi
  • Kuhusu kupata kibali cha kusafiri nje ya nchi

Tovuti Linganifu

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Mfumo wa Kuomba Vibali vya Nje ya Nchi
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Independent Avenue

    Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga

    Simu ya Mezani: 027 2643068

    Simu ya Mkononi:

    Baruapepe: info@tangacc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.