• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
Tanga City Council
Tanga City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Tanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Usafi wa Mazingira
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jiamii na Vijana
      • Maji
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
    • Kata
    • Mitaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Elimu
    • Sekta ya Viwanda
    • Maeneo ya Nyumba na Makazi
    • Sekta ya Misitu na Mashamba ya Miti
    • Sekta ya Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Uwezeshaji Wananchi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Siku za Kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Kanuni
    • Fomu Mbalimbali
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Majarida
    • Taarifa za Miradi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • TangaTV

Viongozi wa serikali watakiwa kutoka maofisini

Imewekwa: November 19th, 2019


Viongozi pamoja na watumishi wa  Serikali wametakiwa kutoa huduma bora kwa wananchi pamoja na  Kutoka  katika maofisi na kwenda kuzungumza nao kuhusu   kero na changamoto walizonazo ili waweze  kuzitatua.

Hayo yamesemwa na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt Hassani Abbas wakati akizungumza na Tanga tv mara alipotembelea kituo hicho ambapo amewasihi viongozi kutekeleza adhima ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt   John Pombe Magufuli  inayosisitiza kwenda kuwasikiliza wananchi  .

“Tunamiaka minne tangu serikali ya awamu ya tano ya Dkt John Pombe Magufuli aingie madarakani mengi yamefanyika na tumeyaona lakini kubwa niwakumbushe viongozi wa serikali katika ngazi mbalimbali kuhakikisha sisi kama viongozi tunatoa huduma bora kwa wananchi na kuacha kuwa viongozi wa mezani”.,Alisema Dkt Hassani Abbas msemaji mkuu wa Serikali

Pia Dkt Hassani Abbas aliwatoa hofu Wananchi  wanaodai fidia Serikalini kwa kupisha miradi mbalimbali ya Maendeleo ambapo  amesema ni lazima kila Mwananchi anayedai  fidia atapewa kwani dhamira ya Serikali ni kuleta Maendeleo kwa Watanzania  .

“Kwenye eneo la fidia nisisistize kwamba sheria zipo na zinapaswa kufuatwa iwe anayetoa eneo ni Serikali kuu au upande wa Jiji au kwenye Halmashauri kwaiyo Serikali ya Rais  Magufuli  inasisistiza kwa Mwananchi atakayeondolewa kwa kupisha miradi ya Maendeleo lazima atalipwa fidia yake “.,Alisema Msemaji Mkuu wa Serikali

Sambamba  na hayo Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt Hassan AbbasI amewataka Watanzania kujenga misingi ya kujitegemea kwa kuwa wazalendo wa kulipa kodi na kufanya kazi kwa bidii kwa Maendeleo ya Taifa letu huku akieleza ni kwa namna gani Serikali ya awamu ya tano ilivyoweza kupambana na rushwa.

“Pale ambapo unapaswa kulipa kodi yako ufanye hivyo naomba kuwakumbusha Watanzania kuwa miaka minne hakuna maajabu mengi sana  kila unachokiona kizuri ni sehemu ya kodi yako  na ukiona kitu kizuri ukawa hujawahi kulipa kodi ulikwepa ujijue wewe ni msaliti kwaiyo Watanzania lipeni kodi ili tulete Maendeleo ya Nchi yetu “.,Alisema Hassani Abbas

Lengo kuu la kufika kwa  Msemaji Mkuu wa Serikali  katika kituo cha Matangazo cha Tanga televisheni ni kuwafahamisha Wananchi  Maendeleo ya Serikali ya awamu ya tano kwa kipindi cha miaka minne ya Rais  Dkt John Pombe Magufuli.


Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ. March 09, 2025
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA JIJI TANGA September 27, 2024
  • TAARIFA YA MSIBA September 18, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 26, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • TANGA: MABORESHO DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA FEB. 13, 2025

    February 04, 2025
  • MENEJIMENTI WAPONGEZWA UTEKELEZAJI MIRADI, UMALIZIAJI WA VIPORO.

    February 04, 2025
  • AFUA ZA LISHE ZAFANYA VIZURI TANGA JIJI

    January 24, 2025
  • KAMATI YA FEDHA NA UONGOZI YAKAGUA MIRADI.

    January 16, 2025
  • Angalia Zote

Video

Baraza la Madiwani la kwanza 2020
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matumizi ya TEHAMA kwa Jiji la Tanga
  • Kata na Mitaa ya Jiji la Tanga
  • Manual ya mfumo wa FFARS
  • Muongozo wa ugawaji wa kitambulisho cha mjasiliamali
  • Jarida la Mifumo Yetu - Novemba 2018-Januari 2019
  • Kupata leseni ya Biashara
  • Tangazo kuhusu watumishi waliomba vibali vya uhamisho
  • Kuanza Ujenzi na Kupata Kibali cha Ujenzi
  • Kuhusu kupata kibali cha kusafiri nje ya nchi

Tovuti Linganifu

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Mfumo wa Kuomba Vibali vya Nje ya Nchi
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Independent Avenue

    Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga

    Simu ya Mezani: 027 2643068

    Simu ya Mkononi:

    Baruapepe: info@tangacc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.