• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
Tanga City Council
Tanga City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Tanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasis
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Usafi wa Mazingira
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jiamii na Vijana
      • Maji
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
    • Kata
    • Mitaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Elimu
    • Sekta ya Viwanda
    • Maeneo ya Nyumba na Makazi
    • Sekta ya Misitu na Mashamba ya Miti
    • Sekta ya Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Uwezeshaji Wananchi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Kuonana na Mst. Meya
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Kanuni
    • Fomu Mbalimbali
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Majarida
    • Taarifa za Miradi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • TangaTV

Kilio cha bili kubwa za maji kwa wananchi wa Jiji la Tanga sasa kupatiwa Ufumbuzi

Imewekwa: December 30th, 2020

Mbunge wa Jimbo la Tangamjini, Madiwani na Watendaji wa Kata na Wataalamu wa Jiji la Tanga leo wametembelea chanzo cha maji eneo la Mabayani na Mtambo wa kusafisha maji mowe uliopo kata ya Kiomoni, ziara hiyo iliyoandaliwa na TANGAUWASA imelenga kuwapa  uelewa wawakilishi wa wananchi kuhusu utendaji kazi wa Mamlaka, bei ya huduma za maji pamoja na kutatua changamoto zilizopo na kupokea ushauri kwa manufaa ya watumiaji huduma hiyo.

Katika ziara hiyo Mbunge wa jimbo la Tangamjini ambaye pia ni Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.Ummy Mwalimu amewataka  TangaUwasa kusambaza maji katika maeneo ya pembezoni mwa Jiji kama Chongoleani,Ndaoya,Mpirani,Kibafuta na Mleni  ili kuhakikisha Wananchi wa maeneo hayo wanapata maji safi na salama kwani huduma ya maji ni muhimu katika maisha. 

“Suala la huduma za maji kwa Wananchi wangu wa jiji la Tanga ni moja kati ya Vipaumbele vyangu muhimu nitahakikisha linapata ufumbuzi wa kudumu hususani bei za bili za maji” alisisitiza Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini Mhe.Ummy Mwalimu


Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga Mhe. Abdrahaman Shilow amesema kuwa wanaishukuru mamlaka ya maji TANGAUWASA kwa kuwapatia fursa ya kutembelea na kufahamu namna uzalishaji maji unavyofanyika huku akigusia suala zima la bei kubwa za bili za maji kwani imekuwa ni kero kubwa kwa wananchi wa jiji hili ambayo inahitajika kutatuliwa.


Naye Mkurugenzi Mtendaji wa TangaUwasa mhandisi Geofrey Hilly amewahakikishia Mbunge waheshimiwa madiwani pamoja na kuwa kero ya bili ya maji inashughulikiwa pamoja na marekebisho ya mita za maji, pia ameongeza kuwa wapo katika mchakato wa kupitia bei mpya za maji.


TANGAUWASA ni Mamlaka ya Maji inayohudumia Wananchi zaidi ya 200,000 wa Halmashauri ya Jiji la Tanga.

Matangazo

  • Matokeo ya Kidato Cha Nne 2020 January 15, 2021
  • Fomu za kujiunga na Kidato Cha Kwanza kwa Sekondari za Tangajiji 2020 December 21, 2020
  • Mkutano wa kwanza wa Baraza jipya la Madiwani December 14, 2020
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2020 December 16, 2020
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Vikundi 73 vyanufaika na Mkopo wa asilimia 10 unaotolewa na Jiji la Tanga

    March 09, 2021
  • Kilio cha bili kubwa za maji kwa wananchi wa Jiji la Tanga sasa kupatiwa Ufumbuzi

    December 30, 2020
  • “Naahidi Mifuko ya Simenti 600 kutoka kwenye Mshahara wangu” Mhe.Ummy Mwalimu

    December 27, 2020
  • “Wahe.Madiwani wenzangu nawakumbusha kutekeleza yale tuliyoahidi” Mstahiki Meya

    December 15, 2020
  • Angalia Zote

Video

Baraza la Madiwani la kwanza 2020
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matumizi ya TEHAMA kwa Jiji la Tanga
  • Kata na Mitaa ya Jiji la Tanga
  • Manual ya mfumo wa FFARS
  • Muongozo wa ugawaji wa kitambulisho cha mjasiliamali
  • Jarida la Mifumo Yetu - Novemba 2018-Januari 2019
  • Kupata leseni ya Biashara
  • Tangazo kuhusu watumishi waliomba vibali vya uhamisho
  • Kuanza Ujenzi na Kupata Kibali cha Ujenzi
  • Kuhusu kupata kibali cha kusafiri nje ya nchi

Tovuti Linganifu

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Mfumo wa Kuomba Vibali vya Nje ya Nchi
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Independent Avenue

    Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga

    Simu ya Mezani: 027 2643068

    Simu ya Mkononi:

    Baruapepe: info@tangacc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.