Uongozi wa kata na Mitaa
Kata hiyo ina Diwani 1 wa kuchaguliwa ambaye ni Mhe. Salim H. Mashi, Wenyeviti wa Mitaa 5, wajumbe 25.
Hali ya maendeleo ya Elimu
Kata ya Kiomoni ina jumla ya madarasa ya awali 5, shule 5 za msingi na shule 1 ya sekondari.
Hali ya maendeleo ya Afya.
Kata ya Kiomoni ina Zahanati 1 ya kutolea huduma za Afya
Miradi ya maendeleo.
Kata ya Kiomoni katika kipindi cha robo ya nne haijapokea fedha yoyote kwa ajili ya kutekeleza mradi wa maendeleo.
Shughuli za kiuchumi.
Zifuatazo ni shughuli za kiuchumi zinazofanyika katika Kata ya Kiomoni;
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.