Uongozi wa Kata na Mitaa.
Kata Chumbageni ina Diwani 1 wa kuchaguliwa ambaye ni Mhe. Saida S. Gadafi, Wenyeviti 11, na Wajumbe 52 wa Serikali za Mitaa.
Hali ya maendeleo ya Elimu
Kata ya Chumbageni kuna jumla ya madarasa ya awali 4, shule 6 za msingi na shule 2 za sekondari.
Hali ya maendeleo ya Afya.
Kata ya Chumbageni ina Zahanati 2 za kutolea huduma za Afya.
Shughuli za kiuchumi.
Zifuatazo ni shughuli za kiuchumi zinazofanyika katika Kata ya Chumbageni;
Biashara ndogondogo
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.