KATA YA CENTRAL
Uongozi wa Kata na Mitaa
Kata hiyo ina Diwani 1 wa kuchaguliwa Mhe. Khalidi A. Mohamed, pamoja na Wenyeviti 11 wa serikali za Mitaa.
Hali ya maendeleo ya Elimu
Kata ya Central ina jumla ya madarasa ya awali 20, shule 10 za msingi,na shule 7 za sekondari.
Hali ya maendeleo ya Afya.
Kata ya Central ina Hospitali Moja ya rufaa, vituo 2 vya afya na zahanati 1.
Shughuli za kiuchumi.
Zifuatazo ni shughuli za kiuchumi zinazofanyika katika Kata ya Central;
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.