• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
Tanga City Council
Tanga City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Tanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasis
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Usafi wa Mazingira
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jiamii na Vijana
      • Maji
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
    • Kata
    • Mitaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Elimu
    • Sekta ya Viwanda
    • Maeneo ya Nyumba na Makazi
    • Sekta ya Misitu na Mashamba ya Miti
    • Sekta ya Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Uwezeshaji Wananchi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Kuonana na Mst. Meya
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Kanuni
    • Fomu Mbalimbali
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Majarida
    • Taarifa za Miradi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • TangaTV

Kamati ya Mipango Miji na Mazingira

Kamati ya Mipango Miji na Mazingira


MAJUKUMU YA UJUMLA

Kamati hii itashughulikia masuala ya uzalishaji maliikiwemo kilimo, mifugo, viwanda, madini, Biashara n.k.

Aidha itashughulikia pia miundombinu na suala zima la mendeleo ya Ardhi na hifadhi ya mazingira.  

MAJUKUMU MAALUM YA KAMATI

  1. Kupendekeza kwa Halmashauri mipango ya kupanua biashara na jinsi ya kukusanya mapato yatokanayo na upanuzi huo.
  2. Kupendekeza mipango ya matumizi ya ardhi katika eneo la Hailmashauri
  3. Kusimamia matumizi ya Sheria ya nguvu kazi
  4. Kuandaa mipango madhubuti ya maendeleo ya upanuzi wa kilimo katika Halmashauri
  5. Kusimamia na kuhakiki miradi ya ujenzi wa masomo, minada, majosho na vituo vya mifugo.
  6. Kushughulikia uanzishaji na uendelezaji wa vyama vya ushirika kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Ushirika.

WAJUMBE WA KAMATI


Na.

JINA

KATA

NAFASI

1
MH. HABIBA NAMALECHA
DIWANI VITI MAALUM

MWENYEKITI
2
MH. CHILUBA FREDRICK
MZIZIMA

MJUMBE
3
MH. CARLOS R. HIZA
USAGARA

MJUMBE
4
MH. MOHAMED MAMBEYA
MARUNGU

MJUMBE
5
MH. MBARAKA S. MBARAKA
PONGWE

MJUMBE
6
MH. NASORO SALIM
TONGONI

MJUMBE
7
MH. KHALID A. MOHAMED
CENTRAL

MJUMBE
8
MH. HAULE THOBIAS
MNYANJANI

MJUMBE
9
MH. KUDRA M. MGANGA
DIWANI VITI MAALUM

MJUMBE
10
MH. KHALID JUMBE
DUGA

MJUMBE
11
MH. RIZIKI S. MUSSA
VITI MAALUM

MJUMBE
12
MH. MWASABU J. NGALE
MABAWA

MJUMBE
13
MH. AKIDA OMARI AKIDA
NGAMIANI KASKAZINI

MJUMBE

Matangazo

  • Matokeo ya Kidato Cha Nne 2020 January 15, 2021
  • Fomu za kujiunga na Kidato Cha Kwanza kwa Sekondari za Tangajiji 2020 December 21, 2020
  • Mkutano wa kwanza wa Baraza jipya la Madiwani December 14, 2020
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2020 December 16, 2020
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Vikundi 73 vyanufaika na Mkopo wa asilimia 10 unaotolewa na Jiji la Tanga

    March 09, 2021
  • Kilio cha bili kubwa za maji kwa wananchi wa Jiji la Tanga sasa kupatiwa Ufumbuzi

    December 30, 2020
  • “Naahidi Mifuko ya Simenti 600 kutoka kwenye Mshahara wangu” Mhe.Ummy Mwalimu

    December 27, 2020
  • “Wahe.Madiwani wenzangu nawakumbusha kutekeleza yale tuliyoahidi” Mstahiki Meya

    December 15, 2020
  • Angalia Zote

Video

Baraza la Madiwani la kwanza 2020
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matumizi ya TEHAMA kwa Jiji la Tanga
  • Kata na Mitaa ya Jiji la Tanga
  • Manual ya mfumo wa FFARS
  • Muongozo wa ugawaji wa kitambulisho cha mjasiliamali
  • Jarida la Mifumo Yetu - Novemba 2018-Januari 2019
  • Kupata leseni ya Biashara
  • Tangazo kuhusu watumishi waliomba vibali vya uhamisho
  • Kuanza Ujenzi na Kupata Kibali cha Ujenzi
  • Kuhusu kupata kibali cha kusafiri nje ya nchi

Tovuti Linganifu

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Mfumo wa Kuomba Vibali vya Nje ya Nchi
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Independent Avenue

    Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga

    Simu ya Mezani: 027 2643068

    Simu ya Mkononi:

    Baruapepe: info@tangacc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.