Saturday 20th, April 2024
@Maeneo yote ya Tanga Jiji
Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kuingia Mkoa wa Tanga mnamo tarehe 22 Septemba 2017 kwa kupokelewa Mkomazi Wilaya ya Korogwe. Baada ya Mwenge wa Uhuru kupita kwenye Halmashauri nyingine za Mkoa wa Tanga, utaingia Tanga Jiji siku ya tarehe 2 Octoba 2017.
Ukiwa kwenye Jiji la Tanga, Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kufungua Miradi ya Maendeleo Saba (7) yenye Jumla ta Tsh. 15,072,295,848.90
Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kuondoka Jiji la Tanga mnamo tarehe 3 Octoba 2017 na kuelekea Pemba.
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.