• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
Tanga City Council
Tanga City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Tanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasis
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Usafi wa Mazingira
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jiamii na Vijana
      • Maji
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
    • Kata
    • Mitaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Elimu
    • Sekta ya Viwanda
    • Maeneo ya Nyumba na Makazi
    • Sekta ya Misitu na Mashamba ya Miti
    • Sekta ya Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Uwezeshaji Wananchi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Kuonana na Mst. Meya
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Kanuni
    • Fomu Mbalimbali
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Majarida
    • Taarifa za Miradi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • TangaTV

KILIMO NA USHIRIKA

Jiji lina eneo la hekta 60,000 ambapo hekta 35,000 kati ya hizo zinafaa kwa kilimo. Kati ya hekta hizo zinazofaa kwa kilimo ni hekta 20,000 ndizo zinazotumika kikamilifu kwa kilimo. Eneo lililobaki linatumika kwa ajili ya  shughuli nyingine za maendeleo ikiwemo ufugaji na viwanda. Kati ya idadi ya watu waliopo katika Halmashauri ya Jiji ( 273,332) ni wakazi 52,205  ndiyo wanaoishi maeneo ya nje ya mji ambapo familia 5,600 (watu 25,000) ndizo zinazojishughulisha kikamilifu na shughuli za kilimo.

Mazao ya kilimo ni pamoja na muhogo, korosho, Nazi, katani, Bustani za mboga na matunda na mengineyo

MAFANIKO YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA KILIMO NA USHIRIKA

Kusimamia usambazaji wa pembejeo za korosho kiasi cha lita 224 katika kata za Chongoleani, Kiomoni, Kirare, Maweni, Mabokweni, na Pongwe.

Kushiriki maonyesho ya kilimo Kanda ya Kaskazini

Kuongezeka kwa eneo lililimwa na kupandwa korosho kutoka tani 64  hadi kufikia tani 100 mwaka huu

Kutoa elimu kuhusu kilimo cha umwagiliaji kwa kikundi cha vijana cha Kiomoni cha Mwamko

Vyama 74 vilivyoandikishwa kisheria zikiwemo saccos 51 na vyama vingine 23

Vyama 12 vimeitisha uongozi mpya na tayari vimepata viongozi wapya kwa mujibu wa sheria na kanuni za Ushirika

Matangazo

  • Matokeo ya Kidato Cha Nne 2020 January 15, 2021
  • Fomu za kujiunga na Kidato Cha Kwanza kwa Sekondari za Tangajiji 2020 December 21, 2020
  • Mkutano wa kwanza wa Baraza jipya la Madiwani December 14, 2020
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2020 December 16, 2020
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Vikundi 73 vyanufaika na Mkopo wa asilimia 10 unaotolewa na Jiji la Tanga

    March 09, 2021
  • Kilio cha bili kubwa za maji kwa wananchi wa Jiji la Tanga sasa kupatiwa Ufumbuzi

    December 30, 2020
  • “Naahidi Mifuko ya Simenti 600 kutoka kwenye Mshahara wangu” Mhe.Ummy Mwalimu

    December 27, 2020
  • “Wahe.Madiwani wenzangu nawakumbusha kutekeleza yale tuliyoahidi” Mstahiki Meya

    December 15, 2020
  • Angalia Zote

Video

Baraza la Madiwani la kwanza 2020
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matumizi ya TEHAMA kwa Jiji la Tanga
  • Kata na Mitaa ya Jiji la Tanga
  • Manual ya mfumo wa FFARS
  • Muongozo wa ugawaji wa kitambulisho cha mjasiliamali
  • Jarida la Mifumo Yetu - Novemba 2018-Januari 2019
  • Kupata leseni ya Biashara
  • Tangazo kuhusu watumishi waliomba vibali vya uhamisho
  • Kuanza Ujenzi na Kupata Kibali cha Ujenzi
  • Kuhusu kupata kibali cha kusafiri nje ya nchi

Tovuti Linganifu

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Mfumo wa Kuomba Vibali vya Nje ya Nchi
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Independent Avenue

    Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga

    Simu ya Mezani: 027 2643068

    Simu ya Mkononi:

    Baruapepe: info@tangacc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.