Halmashauri ya Jiji la Tanga inawatangazia wafanyabiashara/ makampuni/ ushirika/ vikundi kuwa inahitaji kupata wazabuni wenye uwezo wa kukusanya ushuru kwa niaba ya Halmashauri kuanza tarehe 1/7/2017 Hadi 30/6/2018 kwa mujibu wa sheria ndogondogo za Halmashauri.
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.