Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga anawatangazia wafanyabiashara wote wa soko la Mkwakwani kuwa kutakuwa na zoezi la ujazaji wa mikataba ya upangishaji wa vizimba vya soko siku ya Ijumaa tarehe 02/02/2018 kuanzia saa tatu (3:00) asubuhi hadi saa tano (5:00) kamili asubuhi.
Tafadhali njoo na picha mbili (passport size) za mpangaji halali wa kizimba husika.
Tangazo hili limetolewa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji – Tanga
31/01/2018
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.